MAREHEMU Nughu Lugata ambaye ni albino
ameuawa na viungo vyake kuchukuliwa na watu wasiojulikana jana majira ya
saa moja jioni huko Bariadi mkoani Simiyu.
Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na
baadhi ya viungo vyake kama mguu wa kushoto na vidole vitatu kuchukuliwa
na watu wasiojulikana.
Marehemu alikuwa mkazi wa Gasuma akijishughulisha na kilimo.
0 comments:
Post a Comment