Watu
wengi waliokutana na picha hiyo wameifananisha suruali hiyo na nguo
maarufu kwa akina dada "kipedo" huku wakidai kuwa viatu alivyovaa ni vya
kike.
Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz amefunguka ya kwake juu ya madai hayo na kusema....
"Viatu
sio vya kike kwasababu, ukisema viatu vya kike it means labda umeende
ku-shop kwenye duka la vitu vya kike, na viatu vile mi nimenunua South
africa, kipindi tumeenda kumsapoti AY kwenye Channel O. nakumbuka tena
siku ambayo nimeenda ku-shop nilikuwa na Dulla Spatan, nilinunua kama
pea ishirini thelethini, zilikuwa pea nyingi, unajua nsometimes unaweza
kuingia kwenye maduka ukakuta kuna sale nini, kwahiyo nilikuta, galafu
na vile vilikuwa ni vyepesi havichukui kilos, kwahiyo nikanunua nunua
vile vingi, lakini nime-shop kwenye Mr Price nakumbuka, vilikuwa ni
simple......"
"sidhani
kama watu wameichukuliaje lakini may be labda fashion ndio imenikosti,
lakini naona ni viatu vya kawaida na watu wanavaa, hata ukiangalia ma
designers nini hata watu wengi wanavaa, kwahiyo kwa kununua mi nimenunua
sehem ya vitu vya kiume na hakikua kimoja kusema labda wamekosea
wamekiweka sehem tofauti, ni kwamba viko vingi na design tofauti...."
amesema Ommy
0 comments:
Post a Comment