Hizi hapa picha za Lady JayDee zakwenye jarida la VIBE zinazoleta zogo Mwimbaji na Mwanamuziki wa Bongo Flevaambaye anatikisa hapa Tanzania kwa vibao mbali mbaliJudith Wambura aka LadyJay Dee amepost picha kwenye mitandao ya kijamii ambazo zita kuwepo kwenye jarida la VIBE.
Story ambayo itahusu 'Undisputed Champion' kwenye jarida la VIBE litakalo toka tarehe 4 June,2014.
Story ambayo itahusu 'Undisputed Champion' kwenye jarida la VIBE litakalo toka tarehe 4 June,2014.
PICHA ZOTE AKIWA NA VICHUP B0NYEZA HAPA CHIN FASTAA
lol Picha hizo zimesababisha wengi kutaharuki kutokana na mavazi ya ubondia aliyo vaaLayJay Dee tofauti na ilivyo zoeleka kuonekana na mavazi ya kisanii au kuchezea kareti.
0 comments:
Post a Comment