Thursday, 22 May 2014

BREAKING NEWZ:CHUO KIKUU CHA SUA- COLLEGE YA ENGINEERING WAGOMA KUINGIA MADARASANI

...

                                 HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA WANAFUNZI WA COLLEGE YA ENGINEERING AMBAYO INAHUSISHA IRRIGATION,AGRICULTURE AND BIOPROCESSING WAMEGOMA KUINGIA DARASANI KWA SABABU YA KUTOKUWA NA FEDHA YA KULA.


                                
HATA HIVYO TULIPOMTAFUTA AFISA MIKOPO WA CHUO HICHO KASEMA KUWA HADI SASA FEDHA HAZIJAFIKA KUTOKA HADHINA HIVYO CHO HAKINA FEDHA YA KUWALIPA WANAFUNZI HAWA AMBAPO MAISHA YAMEZIDI KUWA MAGUMU KUTOKANA KWAMBA WATU WANASHINDIA MKATE NA MAJI.

PIA TULIFANIKIWA KUMTAFUTA MWALIMU MMOJA WA ENGINEERIONG KWA JINA LA PROF MLENGELA MABAE AMESEMA KUWA DEPARTIMENT IMEWARUHUSU KUANDAMANA KUDAI HAKI YAO,KWANI HATA WAKIFUNDISHA WANAFUNZI WAMEKUWA WAKISINZIA DARASANI.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger