KAKA HUYO ALITANGULIZA SAMAHANI KWA AKINA DADA WOTE AMBAO WATAKWAZIKA NA MADA YAKE. ALISEMA,
'SIKU
HIZI LIMEZUKA WIMBI LA AKINA DADA NA HATA AKINA MAMA WENGI SANA
KUJIREMBA KWA NAMNA MBALIMBALI ILI WAPENDEZE AMA WAWAVUTIE WANAUME!
WAMEKUWA WAKIPAKA RANGI TOFAUTI TOFAUTI KWENYE MIILI YAO, NYWELE ZAO KUCHA ZAO, MIDOMONI YAO, NK.
WENGINE WAMEFIKIA HATAU YA KUNYWA AU KUPAKA DAWA ZA KICHINA ZA KUONGEZA MAKILIO NA MAZIWA ILI KULETA MVUTO NA UZURI WAUTAKAO.
HATA
HIVYO, WENGINE WANASUKA NYWELE NDEFU NA WANAONGEA KWA MBWEMBWE HUKU
WANATIKISA VICHWA VYAO NA KUSHIKASHIKA NYWELE KAMA WAFANYAVYO WANAWAKE
WA KIZUNGU KWENYE MUVI.
KWA
MSISITIZO ZAIDI HUCHANGANYA KISWAHILI NA KINGEREZA. KWA MFANO UTASIKIA,
"OFUKOZI AI LAVU HIM BATI, SIWEZI KUENDELEA NAYE"!! CHAKUSIKITISHA
WANABADILISHA MPAKA SAUTI ZAO!
NINAJUA
DADA ZETU WANAFANYA HIVYO KWA LENGO LA KUPENDEZA NA WENGINE KWA LENGO
LA KUWAVUTIA WANAUME. NA NINA HAKIKA HUWA WANAWAPATA WANAUME WENGI SANA
KUTOKANA NA HILO! SHIDA IPO KWANGU JAMANI...
MIMI KAMA MIMI SIJUI NI KWA NINI HUWA HILI LINANITOKEA, LAKINI NI KWAMBA JINSI WANAWAKE WANAVYOZIDI KUJIREMBA NDIVYO NA MIMI NINAISHIWA HAMU YA KWENDA NAO KITANDANI!!
KIUKWELI
NI KWAMBA NIKILALA NA MWANAMKE AMBAYE NI NACHURO, YAANI MWENYE NYWELE
ZAKE ZA KAWAIDA ZILIZOSUKWA KWA MTINDO WA "TWENDE KILIONI" AU
ZILIZOBANWA VIZURI, MWENYE WOWOWO, CHUCHU NA SAUTI NACHURO, HUWA
NAPATA NGUVU NYINGI SANA ZA KUPANDA MLIMA, IKILINGANISHWA NA NINAPOLALA
NA MWANAMKE MWENYE UREMBO NA UZURI BANDIA.
SIJUI KAMA UGONJWA HUU UMEWASHIKA NA WANAUME WENZANGU AMA NINAUMWA MWENYEWE!!' ALIMALIZIA KIHIVYO KUUELEZEA YA MOYO WAKE
0 comments:
Post a Comment