Msanii wa Leka Dutigite, Linex Sunday
Mjeda amefunguka na kudai kuwa hajaona mchango wa mbunge Joseph Mbilinyi
aka Sugu kwa wasanii wa muziki.....
“Hivi toka Sugu amekua mbunge ni kitu
gani alishawahi kuwafanyia wasanii wa Taifa hili, Tanzania na akiwa kama
waziri kivuli, amewahi kufanya nini kuinua kipato cha wasanii? Je
amejenga mazingira gani kuhakikisha wasanii hawawi ombaomba wakutegemea
misaada bali wajasiriamali? Eg. Amefikia wapi kwenye suala la hakimiliki
na ufuatiliaji wake etc nimeuliza tu manaake kuna vitu vinaendelea
sivielewi,” ameandika Linex kwenye ukurasa wake wa Facebook.
0 comments:
Post a Comment