Wednesday, 28 May 2014

BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"

...
                
 Image by FlamingText.com

                      
HABARI ZILIZOTUFIKIA MDA SI MREFU NI KWAMBA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA SOKOINE WAMEGOMA KUINGIA MADARASANI KUTOKANA NA MWENZAO MMOJA KUZIMIA DARASANI WAKATI MWALIMU AKIWA ANAFUNDISHA DARASANI.
                                       
MWANAFUNZI HUYO MWAKA WA PILI KOZI YA AGRICULTURE GENERAL MWAKA WA PILI AMEANGUKA GHAFLA DARASANI KUTOKANA NA KUTOKULA KWA MDA WA SIKU MOJA HUKU AKIWA ANASHINDIA MAJI YA KUDOWNLOD YAJULIKANAYO KAMA MOZILA FIREFOX.

HADI SASA HAIJAJULIKANA NI LINI WATAINGIA MADARASANI,HUKU WAKISHINIKIZA  CHUO  KUWALIPA HELA YAO YA CHAKULA.
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger