Msanii
wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina la Jaco Beats A.K.A Kilaza na
pia ni Msanii wa kwanza ktk Mkoa wa Dodoma anayefanya vizuri kwa wimbo
wake mpya wa ''WALIONUNA'' ambaye Video ya wimbo huo ukiwa unakaribia
kutoka hivi karibuni.Pia msanii Super nyota aliyewakilisha mkoa wa
Dodoma katika tamasha la fiesta 2013 kwa wimbo wake wa ''KILIAZA''
Ambapo kwa sasa anafanya poa sana kwenye Game:
|
0 comments:
Post a Comment