Majira
ya Saa 11 jioni imeripotiwa kutokea ajali mbaya iliyohusisha Gari ndogo
aina ya Toyota Haice...Nchini Msumbiji katika Sehemu inayoitwa
Namanyambili.
Chanzo
cha ajali hiyo Chasemakana kuwa ni Kupasuka kwa Tairi la Mbele upande
wa Kushoto wa Gari hilo na Kugonga Mti uliopembezoni mwa Bara Bara. Watu
7 wahufiwa kufa na Majeruhi 5 wako hoi katika Hospitali Nchini
Msumbiji. Gari likitokea Montepuez/pemba.
0 comments:
Post a Comment