Msanii
kutoka Tanzania House of Talent Msami Giovanni ambaye kwa wakati huuana
hit na ngoma yake ya Sound Track kwa wakati huu inasemekana eti yuko
katika dimbwi zito la mahaba na muigizaji maarufu wa Bongo Movie Irene
Uwoya
Baada
ya kuulizwa Msami mwenyewe, alikataa kujihusisha kimapenzi na Uwaoya
lakini girlfriend wake ambae wamegombana kwa sasa juu ya swalahilo,
amefunguka yote.
Rehema
ambaye pia ni Dancer mkali sana maarufu akatiririka kuwa ni kweli
taarifa hizo anazo ila ana uhakika Msami atarudi kwake wala hana Wivu na
Uwoya
na anachofahamu Irene Uwoya alimlaghai Msami kwa kumwambia anataka kuwa meneja wake kwa kuusimamia muziki wa Msami, sasa tangia hapo wawili hao wakazama kwenye Dimbwi zito la mahaba
na anachofahamu Irene Uwoya alimlaghai Msami kwa kumwambia anataka kuwa meneja wake kwa kuusimamia muziki wa Msami, sasa tangia hapo wawili hao wakazama kwenye Dimbwi zito la mahaba
0 comments:
Post a Comment