Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amedhihirisha jinsi asivyojiheshimu baada ya kuvua nguo hadharani na kuacha nyeti nje bila kujali watu waliokuwa wakimshangaa.
Tukio hilo la kushangaza lilitokea Alhamisi iliyopita kwenye Ukumbi
wa Mawela uliopo Sinza, Dar ambako kulikuwa na kitchen party ya
mwigizaji, Vanita Omary ambapo Isabela aliwashangaza watu baada ya
kuacha nyeti nje.
Bila chembe ya aibu, Isabela akivalia gauni fupi akiwa tilalila,
alikuwa akicheza muziki huku akilinyanyua gauni juu na kuacha sehemu
nyeti za makalio nje na kusababisha ‘kufuli’ yenye muundo wa bikini
kuonekana.
Ishu hiyo ilizua minong’ono kwa baadhi ya wageni waalikwa na kubaki wakimshangaa kwa kitendo hicho....
Akiwa anafanya tukio hilo la kujifunua alisikika akisema amepania
sherehe hiyo kwani yeye ndiye wifi wa Vanita na kama mwigizaji
Jacqueline Wolper aliacha kufuli lake kubwa wazi na yeye aliamua
kuonyesha lake aina ya bikini nje ili lionekane kwani ni la bei kubwa.
0 comments:
Post a Comment