Friday, 30 May 2014

LULU ATEMBEA ‘MATITI’ NJE!

...

MSANII wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvukwa na gauni alilokuwa amevaa na kulazimika kutembea huku sehemu kubwa ya kifua chake ikiwa wazi.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika kiwanja kimoja kichopo mjini Arusha ambapo mmoja wa watu aliyemtia machoni Lulu aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema:
Msanii wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’.
“Yaani nilimuona Arusha akiwa amevaa gauni lililoacha wazi mati
kaficha chuchu tu na inavyoonekana gauni lilimvuka, akaonekana akihangaika kulirudishia bila mafanikio.”
Ijumaa lilimtafuta Lulu kupitia simu yake ya mkononi bila mafanikio ila juzikati akatundika picha kwenye mtandao wa instagram akiwa amevaa gauni kama lile aliloonekana nalo Arusha.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger