Monday, 26 May 2014

WEMA SEPETU NAYE KIMBELE MBELE KIMEMZIDI CHA KWENDA KWENYE TUZO ZA BET...SOMA HAPA

...

 

Madame Wema Sepetu ameonesha kuwa na kiwaluwalu cha safari ya kwenda Marekani kwenye tuzo za BET ambazo mpenzi wake Diamond ni miongoni mwa wanamusiki kutoka Afrika walioteuliwa kushindania tuzo hizo kwa mwaka 2014,zitakazofanyika tarehe 29 mwezi ujao.....
Kiwaluwalu hicho amekionyesha hapo jana kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM...baada ya kuweka picha ya ndungu zake walioko Marekani na kusema amewakumbuka sana ila hivi karibuni wataonana kwani tuzo za BET zimekaribia. ISHU NZIMA   You two are reeeeeaaaally missed... But BET is jus around da corner... Ama see you guys soon... I love you dada

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger