Huyu
si mwingine bali ni mdogo wetu aliekulia kwenye TV (kwasisi wa miaka ya
80 )...yaaani ana TV personality toka LONG , kwa hapa Bongo ni staa
wetu tumependwa na wengi (pamoja na mimi toka kitambo)
anaitwa Elizabeth Michel a k a Lulu...Ameamua kubali kidogo muonekano baada ya kuvaa MIWIGI kwa muda sasa.
KAMA ULIKUWA BADO HAUJAJIUNGA NAMI MOJA KWA MOJA ONLINE KWA MAPICHA ZAIDI
KAMA ULIKUWA BADO HAUJAJIUNGA NAMI MOJA KWA MOJA ONLINE KWA MAPICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment