Wanasema kuwa hii imetokea katika jimbo la Benue ambapo wasichana wawili walikuwa wanapigana kwa ajili ya sugar daddy.
Lakini
chanzo kingine kinadai kuwa, siyo kweli kwamba wasichana hao walipigana
kwa ajili ya mapenzi bali kwa sababu mmoja wao alimuita mama wa
mwenzake kuwa ni kahaba.
Kwa
kuonesha kukerwa kwake na kauli hiyo, msichana mmoja aliamua kumkata
mwenzake usoni kwa kutumia wembe mkali. Inaelezwa kuwa watu waliokuwa
wanapita eneo la tukio na kushuhudia namna msichana huyo alivyokatwa na
mwenzake, walimuamuru msichana mkataji kuvua nguo zake ili aadhibiwe kwa
kosa lake.Lakini msichana huyo alipinga, ndipo wanaume hao wakamvua
nguo kwa nguvu na kumuacha uchi wa mnyama.
Inasikitisha
sana na huwezi kuamini. Ni kweli alichokifanya siyo kizuri kumkata
mwenzie kwa wembe. Lakini wanaume wanatajwa kuwanyanyasa wanawake kwa
wakati huu huku wengi wakihoji kuwa hii ni namna mpya ya adhabu? Kila
msichana anapofanya makosa; wizi, kupigana au anapokosa adabu, badala ya
kuwapeleka katika vyombo husika vya kisheria, huchukuliwa hatua
mikononi.
BOFYA HAPO CHINI KUONA ALIVYO WACHWA UCHI WA MNYAMA
0 comments:
Post a Comment