Friday, 23 May 2014

AJIFUNGUA WATOTO WANNE AOMBA MSAADA"AOMBA MSAADA"

...
Mkaazi wa kunduchi Beachi  katika manispaa ya kinondoni  jijini Dar es salaa Riziki Daudi amejifungua watoto  alipojifungua kwa njia ya upasuaji wiki iliyopita katika hospitali ya Taifa muhimbili  kutopkana kuwa maisha magumu anaomba wasamaria wema kumsaidia kwa hali  na mali kutoka hali yake hususani nguo za watoto apamoja na misaada mingine  watoto hao wanatunzwa katika chumba maalum katika jengo la wazazi
alikuwa anaomba kwa wale watakao gusa na tatizo hilo kuwasiliana na namba za simu 0783717648 ya Hadija Abeid na 0717 365040 ya Thuwaiba mohamed au 088711458 Daudi Haji  wadau naomba tumsaidie kwa kusambaza vyombo vyenu

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger