Hodari
wa kutupia picha zenye utata katika mitandao ya kijamii na kujikuta
anajipatia umaarufu mkubwa kwa tabia hiyo yakuachia umbo lake matata
hadharani Agness Gerard aka Masogange au mama wa Mibegi.
Ameibuka
tena kwa kutupia picha ambayo haina maadili ya kitanzania katika
mtandao wa kijamii Istagram, picha hiyo ikimuonesha mwanadada huyo akiwa
amevalia kiguo ambacho kimemuweka wazi sehemu kubwa ya mwili wake
ikiwemo mapaja, kitovu, mgogo na kiuno.
0 comments:
Post a Comment