Thursday, 22 May 2014

MPYA:WANAFUNZI COLLEGE YA ENGINEERING SUA-WASISITIZA MSIMAMO WAO KWA KUTOKUINGIA DARASANI

...

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA SOKOINE KILICHPO MKOANI MOROGORO WAMESMA KUWA WATAENDELEA NA MSIMAMO WAO WA KUTOKUINGIA DARASANI HADI WATAKAPO PATIWA FEDHA ZAO ZA CHAKULA NA MALADHI.

HAYO YAMESEMWA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO HICHO(mjina tumehifadhi) KUWAHAWAKO TAYARI KUINGIA DARASANI HADI WATAKAPO HAKIKISHA WAMEPATIWA FEDHA YAO.


HATUKUSITA KWA MARA NYINGINE KWENDA MOJA KWA MOJA DEPARTIMENT YA ENGINEERING AMBAPO JUHUDI ZA KUUUPATA UONGOZI ZILIGONGA MWAMBA;HATA HIVYO TULIFANIKIWA KUONGEA NA SECRETARY WA IDARA HIYO NA KUTUAMBIA KUWA UONGOZI UPO KATIKA KIKAO KIZITO CHA KUTAFUTA UFUMBUZI WA SUALA HILO.

BAADA YA HAPO MWANDISHI WETU BAADA YA KUKOSA UFUMBUZI KUHUSU MGOMO HUO ALIAMUA KWENDA UONGOZI WA CHUO AMBAO UMESEMA KUWA HADI MDA HUU CHUO HAKIJAPOKEA FEDHA KUTOKA BODI YA MIKOPO.

PONGEZI ZA DHATI ZIMFIKIE AFISA MIKOPO WA CHUO HICHO(SAM) AMBAE AMEKUWA AKIENDA BODI YA MIKOPO MARA KWA MARA KUFUATILIA FEDHA HIZO BILA MAFANIKIO.

TUTAENDELEA KUWAJULISHA KITAKACHOKUWA KINAENDELEA PIA UNAWEZA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK KWA UPDATES MBALIMBALI KWA KILA KITAKACHOKUWA KINAENDELEA.

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger