Jioni hii katika bunge la Bajeti
Mweshimiwa Mbowe ameongoza kambi ya Upinzani kutoka Bungeni kwa kila
anachodai wabunge wa CCM wanajaribu kuficha uovu wa Wizara ya Nishati na
Madini na Kujadili mazuri tu kuhusu umeme wakati kuna Uozo wa Kujadili
ikiwemo Sakata kubwa la Ufisadi la APTL linalohusu Wizara hiyo.
Mbowe Amesema ni heri wao watoke na
wawaachie CCM wapitishe bajeti hiyo wenyewe kwa vile wameshapanga
kuipitisha na kupanga watu wakuongea kumsifia Waziri wa Wizara hiyo
0 comments:
Post a Comment