BABA la baba, Jacob Steven ‘JB’
amenyanyua kinywa chake na kutamka kuwa anateswa na majungu katika fani
hivyo angekuwa na mbadala wa kazi, angechepuka.
Akistorisha na gazeti hili hivi
karibuni, JB alisema licha ya umri wake mkubwa katika tasnia ya filamu
lakini suala la majungu limekuwa likimtesa na mbaya zaidi ni ngumu
kulidhibiti.
“Kusema ukweli majungu ni mengi kiasi
ambacho kungekuwa na mbadala wa kazi ningefanya ili niwaache na majungu
yao ya kila kukicha,” alisema JB.
0 comments:
Post a Comment