Naamini
kwapicha hizi uwezi kosa show yake jumapili hi EW MAISHA CLUB atazindua
video yake ya majanga kuwa mjanja kuwa wa kwanza kuiona, atasindikizwa
na WEMA SEPETU atakata utepe wa video ya majanga,MIRROR,SAMIR,ALI
NIPISHE,TIMBULO,BAUCHA,MENINAH, na MADEE kiingilio 10,000 tu hii show sio yakukosa kabisa.
0 comments:
Post a Comment