Rais
Jakaya Kikwete akihutubia wafanyakazi katika Uwanja wa Uhuru, Dar leo
wakati wa kilele cha Siku kuu ya Wafanyakazi Duniani, Mei Dei
iliyofanyika kitaifa.
Brass Bend ikipita mbele ya Rais Kikwete wakati wa maandamano ya wafanyakazi.
…wafanyakazi wa mali asili wakipita mbele ya Rais Kikwete.
… wafanyakazi wakipitia mbele ya Rais Kikwete na vitendea kazi vyao.
Rais Kikwete akiwa ameshikana mikono na viongozi wa wafanyakazi kuonesha mshikamano.
…hapa anatoa zawadi kwa mmoja wa wafanyakazi bora.
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Said Meck Sadiki akihutubia kabla hajamkaribisha Rais Kikwete.
Wachezaji wa Azam FC wakipita mbele ya Rais Kikwete na kombe lao la ubingwa walionyakua mwaka kuu katika Ligi Kuu Tanzania Bara.
Msichana huyu alikuwa kivutio kwa danadana zake alizocheza uwanjani hapo mbele ya Rais Kikwete.
Baadhi ya umati uliohudhuria sherehe hizo Uwanja wa Uhuru wakifuatilia sherehe hizo.
0 comments:
Post a Comment