Balaa la Snura awapo Sita kwa Sita yatishia kuvunja kitanda.Staa wa kike anayetikisa kwenye tasnia ya filamu na muziki, Snura Mushi a.k.a Majanga anadaiwa kuwa ni mmoja wa mastaa wa kike wenye ujuzi mkubwa kimahaba kiasi cha kuwapagawisha mno wanaume anaokuwa nao katika mahusiano…..
Chanzo chetu cha habari ambacho
kiko karibu na staa huyo kilieleza kuwa Snura huwa na tabia
ya kupandisha mzuka wa jukwaani awapo kwenye sita kwa sita na
wakati mwingine huweza hata kuvunja kitanda endapo akiamua
kufanya hivyo…..
“Unajua
Snura anaasili ya kizaramo, Amefundwa kila aina ya mafunzo ya
kuwa na mwanaume.Mimi ni rafiki yangu kwa kipindi kirefu, yaani
tokea niwe karibu naye wanaume aliowahi kuwa nao wamemsifu
kuwa anaweza mambo tena si kitoto”, Kilieleza chanzo hicho
Inadaiwa kwamba asilimia kubwa
ya mastaa wa kike huwa hawapendi kujishughulisha wawapo faragha
kutokana na ustaa wao,lakini taarifa za Snura zimekuwa
tofauti….
Mwandishi wetu alimtafuta Snura ambaye baada ya kumuuliza aliangua kicheko:
“Sasa
utamu wa ngoma si ni lazima uicheze? Huwezi kujua hivi
hivi.Hayo mambo ni mazito sana naona kwangu ni ngumu
kuyazungumzia kwa sababu najiandaa kuolewa. Ila kwa mwanamke
hasa wa taipu yangu ni lazima ujue kumpetipeti mume.
“Hilo
halinipi shida sana sababu nimekamilika kila idara.Mbele ya
watu kibao shughuli inakuwa pevu jukwaani sembuse chumbani
wawili tu?” Alisema staa huyo anayefunika Tanzania na ngoma yake ya Nimevurugwa
0 comments:
Post a Comment