Rais Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo
alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania
Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga katika ukumbi wa mikutano wa
kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za
mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy
Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment