Leo mwigizaji maarufu nchini Vicent
kigosi - Ray anasherehehea siku yake ya kuzaliwa huku akipata salamu
mbalimbali za pongezi toka kwa mastaa mbalimbali nchini.
Moja ya watu wa kwanza kwanza kumpa
salamu hiyo ni swahiba na rafiki yake mkubwa, JB akifuatiwa na mpenzi
wake wa zamani Johari ambaye salamu yake inadaiwa na wachunguzi wa mambo
kuwa ni kwa namna flani inamponda mpenzi wa sasa wa Ray , Chuchu hans,
kutokana na maneno yaliyotumika ya salamu hiyo ambayo Johari anadaiwa
kuwahi kuyatumia kumponda Chuchu siku za nyuma.
JB ameandika
''Happy birth day mdogo wangu ray.mungu akupe haja ya moyo wako.''
Na huku Johari akiandika
''Happy birthday director wa rj na swaiba wangu mungu akuongoze akupe maisha marefu na akuepushe na ‘’mabarazuri’’
Hongera sana kaka kigosi. Mungu akupe maisha marefu
0 comments:
Post a Comment