Sunday, 11 May 2014

DIAMOND ASHANGAZWA JUU YA NYIMBO WAKE MPYA ILIYOTOKA "KITORONDO",ADAI IMEIBWA KABLA YA YEYE KUIACHIA HEWANI HUKU IKIWA BADO HAIJAKAMILIKA

...
DIAMONDInawezekana ikawa si mara ya kwanza kusikia habari za wasanii kulalamika kuhusu kuvuja kwa nyimbo zao,Diamond Platnumz nae ana malalamiko yake juu ya hili na hii ni baada ya siku ya leo kusambaa kwa wimbo wake unaoitwa Kitorondo ambao yeye hajautoa lakini kashangaa kuukuta kwenye mitandao ya kijamii.
Kupitia Akaunti yake ya Instagram ameandika kuhusu wimbo huo ambao nyimbo kadhaa za Diamond akitangaza kuvuja kwa wimbo huo ambaye hata yeye kashangazwa na hali hiyo huku akisisitiza kuwa iliyotoka haikua imekamilika,huu ndiyo ujumbe alioandika Diamond.
story 
KUSIKILIZA NYIMBO HIYO >>>> BOFYA HAPA<<<<<
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger