Rais Kikwete anatarajia kuwaleta nchini wanamuziki maarufu wa Marekani Usher Raymond na Trey Songz mwezi ujao yaani July.
VIDOE
Wasanii
hao watatumbuiza na pia kuzungumza na wasanii wa muziki na filamu
nchini kwa mujibu wake mwenyewe. Juzi wasanii na Rais Kikwete walikuwa
Dodoma katika uzinduzi wa video ya campaign ya Muungano.
0 comments:
Post a Comment