HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA WANAFUNZI WA GHO KIKUU ARUSHA WAMEGOMA KUINGIA DARASANI KWA SABABU YA KUTOKUWA NA FEDHA YA KULA.
HATA HIVYO TULIPOMTAFUTA AFISA MIKOPO WA CHUO HICHO KASEMA KUWA HADI SASA FEDHA HAZIJAFIKA KUTOKA HADHINA HIVYO CHO HAKINA FEDHA YA KUWALIPA WANAFUNZI HAWA AMBAPO MAISHA YAMEZIDI KUWA MAGUMU KUTOKANA KWAMBA WATU WANASHINDIA MKATE NA MAJI.
0 comments:
Post a Comment