Sunday, 29 June 2014

MAJINA MAPYA YA VIONGOZI CUF TAIFA BAADA YA UCHAGUZI MKUU

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
1.MWENYEKITI PROFESA IBRAHIM LIPUMBA
2.KATIBU MKUUU......MAALIM SEIF

3. Naibu Katibu Mkuu (Bara), Mhe. Magdalena Sakaya.

4. Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar), Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.


5. Mkurugenzi wa Mipango na Chaguzi, Mhe. Omar Ali Shehe.

6. Naibu Mkurugenzi wa Mipango na Chaguzi, Mhe. Shaweji Mketo.

7. Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano na Umma, Mhe. Salim Bimani.

8. Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano na Umma, Mhe. Abdul Kambaya.

9. Mkurugenzi wa Haki za Binadamu na Sheria, Mhe. Kulthum Mchuchuli.

10. Naibu Mkurugenzi wa Haki za Binadamu na Sheria, Mhe. Pavu Abdallah Juma.

11. Mkurugenzi wa Uchumi na Fedha, Mhe. Joran Bashange.

12. Naibu Mkurugenzi wa Uchumi nau Fedha, Mhe. Abdallah Bakari Hassan.

14. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama (hajateuliwa).

13. Naibu Mkurugenzi wa Uinzi na Usalama, Mhe. Yussuf Salim Hussein.

14. Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, Mhe. Ismail Jussa.

15. Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, Mhe. Abdallah Mtolea.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger