kwenda Mwanza eneo la Kimara.
Basi
la Princes Muro T892 BUR likitokea Dar kwenda Mwanza limegongwa nyuma
na basi la NBS T719 AZC likiwa safarini kuelekea Tabora eneo la Kimara
leo.
CHANZO cha
ajali ni uzembe wa dereva wa basi la Princes Muro aliyekuwa akiendesha
basi lenye namba za usajili T892 BUR ambapo akiwa upande wa kulia wa
barabara, ghafla alichepuka upande wa kushoto kwa lengo la kumshusha
mfanyakazi mwenzake mahala ambapo si kituo cha kushusha abiria.
0 comments:
Post a Comment