SISTA
wa Parokia ya Makoka iliyopo Kibangu, Dar ameuawa na majambazi
yaliyokuwa kwenye bodoboda wakati akiingia kwenye gari akitokea dukani
eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam hivi punde.
Kabla ya kuuawa sista huyo, dereva wake alipigwa risasi mkononi na majambazi hayo.
0 comments:
Post a Comment