Wanfunzi wa chuo kikuu cha sokoine kilichopo mjini morogoro jana wame fanya misa ya pamoja kwa ajili ya mitihani inaoenda kuanza hapo jumatatu.
Kwaya mbalimbali zilihusika katika kuhakikisha unakuwa ni usiku wenye baraka tele;Pia misa hiyo ilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwepo vijana kutoka main campus,kihonda,wami, na mzimbu yenyewe.
Pia uongozi huu wa blog unapenda kuwatakia MITIHANI MEMA YA UE.
0 comments:
Post a Comment