Thursday, 26 June 2014

SUAREZ AADHIBIWA MIEZI MINNE na MECHI TISA NJE,BAADA YA KUMN'GATA MCHEZAJI MMWENZAKE

...

suarez
Habari za hivi punde zinasema kuwa FIFA imemuadhibu Suarez kwa kumfungia mechi tisa
na miezi 4 za kuto jihusisha na shughuli za mpira wa miguu na kulipa faini ya franc laki moja.
Je unadhani adhabu hiyo ni stahili yake?
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger