Tuesday, 24 June 2014

TOA MAONI YAKO:Unalizungumziaje suala la nguo fupi kwenye filamu?

...

Unalizungumziaje suala la nguo fupi kwenye filamu?
Moja ya mambo yanayojadiliwa sana na vyombo vya habari kwa sasa, ni suala la kina dada wa bongo movies kupenda kuvaa nguo fupi sana wanapokuwa wanaigiza filamu zetu hizi. Ikizingatiwa ni karibuni tu, suala hili lilijadiliwa mpaka bungeni na pia siku chache zilizopita
mwigizaji maarufu nchini Simon Mwakifamba aliongea na chombo kimoja cha televisheni na kusema kuwa wadada hawa lengo lao ni kuonesha miili yao kwa lengo la kujiuza, sisi tukiwa kama tovuti rasmi ya filamu Tanzania tungependa kupata maoni yako wewe mdau na mpenzi wa tasnia yetu hii, Je, wewe unalichukuliaje suala hili? Ni kweli haya madai yana maana na inabidi yafanyiwe kazi au wanafanya hivyo kama sehemu ya sanaa? Tupe maoni yako hapo chini mdau.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger