Kumekuwa na sintofahamu nyingi ni chuo gani kinachoongoza kwa kutoa wanafunzi wenye elimu ambayo ni competent tanzania,utafiti uliofanyika wiki iliyopita umeonyesha kuwa elimu itolewayo chuo kikuu cha dar es salaam bado ipo juu na graduates wake wamekuwa wakifanya makubwa wawapo kazini,Pia zimetajwa kozi zenye mafanikio chuoni hapo ,Ni pamoja na SHERIA, na Education.
Chuo cha pili kwa ubora wa elimu na chenye kutoa graduate wazuri ni chuo kikuu cha SUA kilichopo mkoani morogoro,pia utafiti umeonyesha kuwa chuo hicho 93% ya kozi zake zimekuwa na soko sana kwenye ajiya baadhi ya kozi zilizoorodheswa ni,Bachelor of veternary medicine(BVM),Bsc.AGRONOMY,Bsc.Irrigation engineering,Bsc.Food science and Technology,Bsc.Agriculture general,Bsc.Animal science.
Vyuo vingine ni kama vinavyoonekana hapo chini
1 University of Dar es Salaam . (UD)
2 Sokoine University of Agriculture (SUA)
3 Muhimbili University of Health and Allied Sciences (Muhas)
4 The Hubert Kairuki Memorial University
5 St. Augustine University of Tanzania (saut)
6 Tumaini University
7 The University of Dodoma
8 Ardhi University
9 St. John's University of Tanzania
10 Teofilo Kisanji University
11 The State University of Zanzibar
12 Mount Meru University
13 Mzumbe University
14 Zanzibar University
15 The University of Arusha
16 Muslim University of Morogoro
17 International Medical and Technological University
0 comments:
Post a Comment