Jana
tumeona mcheza wa soka umevamiwa na wasiopaswa kuwa uwanjani. Nimetania
kwenye KwanzaJamii sports extra leo asubuhi kuwa Suarez unapoanza mpira
alipaswa akamatwe na apelekwe kufungiwa kwenye matyndu ya wanyama wakali
wafugwao!
Lakini ya
Suarez yanatukumbusha mwaka 1995 pale Erick Cantona alipotoa ya mwaka ,
wakati man united ilipobanwa na hususan cantona mwenyewe alipobanwa
vilivyo na beki wa crystal palace Richard Shaw, Cantona akaonekana
kukosa uvumilivu, akamtia kabali ya shingo na akapigwa red card.
Alipokuwa
akielekea chumba cha kubadilishia nguo, Cantona akamwona shabiki wa
Crystal palace anayemzomea. Basi, Cantona akamrukia kwa mateke ya
kunf-fu za usoni. Man United ikaamua kumfungia Cantona kwa msimu
mzima...!
0 comments:
Post a Comment