Wednesday, 25 June 2014

INJINIA SUA WAFANYA SHEREHE:KUMPONGEZA BEDON(UNPERISHABLE) KUWA WAZIRI MKUU,JERIMIAH KUWA MBUNGE

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

                                                  
JUMUIYA YA WANA SUA WANAFUNZI WASOMAO INJINIA LEO HII WAMEFANYA SHEREHE AMBAYO ITAKUMBUKWA NA WATU WENGI BAADA YA MTAJWA HAPO JUU MH.BEDON KUTEULIWA NA MH.RAS KUWA WAZIRI MKUU WA CHUO HICHO.


IKUMBUKWE KUWA MH.BEDON NI KATI YA WATU WACHACHE WALIOCHOCHEA KULETWA KWA PESA ZA BOOM ZA AWAMU YA PILI SEMI ESTER HII.

UCHAGUZI MKUU SUA ULIFANYIKA SIKU CHACHE ZILIZOPITA NA KUMPATIA MH.UNSHAKABLE NAAFASI YA URAS BAADA YA KUMSHINDA MH.MTERI(agri general) NA MWENZAKE MWALONGO(education )

BLOG YA MASWAYETU ITAENDELEA KUKULETEA HABARI ZOTE KUHUSIANA NA UTEUZI HUO HUKU TUKISUBIRIA KWA HAMU BARAZA LA MAWAZIRI LITAKALOTANGAZWA MDA SI MREFU KUANZIA SASA.



Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger