Ofisi
ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI)
imetangaza
majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha
tano kwa mwaka 2014 ambao
waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013
|
||||||||
Wanafunzi waliochaguliwa
wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangiwa kuanzia tarehe 10 Julai
2014
na mwisho wa kuripoti ni tarehe 30 Julai 2014. Aidha, hakutakuwa na
mabadiliko ya wanafunzi kubadilishiwa
shule walizopangiwa, hivyo
wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa kama
|
0 comments:
Post a Comment