Tukio
hilo limetokea leo majira ya saa tatu asubuhi baada ya kudaiwa kuwa
mtuhumiwa huyo alikutwa ndani kwenye nyumba ya jirani ambayo hata hivyo
haijatajwa, ambapo alijifungia ndani kabla ya wananchi kuvunja mlango na
kumtoa
Imedaiwa kuwa Kijana huyo amewawa akituhumiwa kuhusika na wizi wa TV na Solar katika maeneo ya mtaa huo, na kwamba amekuwa akifanya uhalifu mara kwa mara lakini amekuwa akiendelea kuonekana mtaani hata baada ya kukamatwa na polisi.Jeshi la Polisi wilaya ya Kahama limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba Mwili wa Marehemu umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya Wilaya ya Kahama, huku upelelezi ukiendelea.

0 comments:
Post a Comment