Friday, 20 June 2014

HEMEDY PHD ATAFUTA MKE WA KUOA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 muna akiwa kwenye pozi tata

Msanii wa filamu nchini Hemedy aka PHD mwenye mikogo kuzidi mabilioni ya Dr dre amesema baada ya kuchafua sana sasa anataka kutulia na kuoa kabisa.

Hemedy alisema hayo alipokuwa akiongea na paparazi, Phd alisema kuwa "Nimechafua sana more
than sana nikaona hii bora iishe maana mama yangu anataka vitu ving kutoka kwangu so nimepata msichana ninaye mpenda na yeye ananipenda so natarajia kufunga ndoa mwezi november huyu ndiyo mchumba wa Hemedy anaitwa  Muna aka Momo
Hemedy akiwa na mchumba wake  Muna
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger