Thursday, 19 June 2014

AGNESS MASOGANGE USO KWA USO NA CORAZON KWAMBOKA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Daah NOUMA sana, Katika hali ya kufurahisha wadada wanaotikisa  hapa Afrika Mashariki kwa kuwa na maumbo ya HATARI... Corazon kutoka Kenya na Masogange kutoka hapa 255.
ISHU ILIKUWA HIVI;
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM Masogange alianza kwa kuweka picha ya Corazon na kuandika "I'm in love with her watu na ma ass yao duh mm hapa sigusiii ndukiiiii@lilythegenie" 
Baada ya muda mfupi kupita, Corazon nae aliweka picha ya Masogange na kuandika"This chick though, blazing! Fire! Face, complexion, figure, wonderful heart.. love her to bits@misgerald #kisses. She my WCW for real"
Hii ni kwa mara ya kwanza kwa wawili hawa kusifiana huko INSTAGRAM....
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger