Kushoto ni gari ndogo aina ya Range Rover ambayo iligongwa na Daladala (kulia) iliyosababisha ajali hiyo
Askari wa usalama akichukua maelezo eneo la tukio
...eneo la ajali linavyoonekana mchana huu.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
Baadhi ya miili ikiwa kwenye gari Hospitali ya Lugalo.
Ndugu wakilia kwa uchungu baada ya kutambua miili ya ndugu zao.
Mtangazaji wa Global TV Online, Gabriel Ng'osha akiwa eneo la tukio.
Magari mawili aina ya
Coaster yanayosafririsha abiria kati ya Mwenge, Tegeta na Mbezi jiijini
Dar, yamegongana na na kuua abiria wanaokadiriwa kufikia zaidi ya 10,
ajali hiyo imetokea mchana huu eneo la Makongo. Mashahuda wa ajali hiyo
wamesema kuwa uzembe uliofanywa na dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka
Tegeta ndiyo uliosababisha ajali hiyo, kwani alipita upande usiyo wake.
0 comments:
Post a Comment