Masikini Wema katika siku alizowahi kuongea kwa uchungu, leo ametisha. Kwa kilic
homkuta leo hatamani hata kuelezea.
Ameshindwa kuvumilia na hatimae kutokwa chozi mtu mzima baada ya watu
anaojibizana nao mitandaoni kuchukua picha ya mama yake na kui-edit
akaonekana akiwa uchi.
Ni fedheha kubwa sana kwa Wema na kwa yeyote mwenye uchungu na mama hili hakuwa na budi kuwa mpole. Soma kilichomkuta hapa.
0 comments:
Post a Comment