Sakata
la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za watu
maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la Tanzania
kule Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu Mhe. Habib Mnyaa
ameonekana akihoji serikali inachukua hatua gani juu ya watu wanaotuma
picha zao zisizo na maadili mitandani zikiwemo za kina Wema na Diamond
wanazopiga wakiwa chumbani na kuweka kwenye mitandao.
Katika
majibu yake waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia Prof. Makame
Mbarawa anasema “Mhe. Spika kuhusu picha zisizokuwa na maadili
zinazowekwa katika mitandao na watu maarufu na hata wasiokuwa maarufu
serikali imeanza kuandaa kanuni zitakazokuwa zikifuatilia Online Content
ambapo itaanza kuchukua hatua baada ya kufuatilia juu ya picha hizo na
kuchukua hatua madhubuti”.
Baada
ya kauli hiyo Spika wa bunge Mhe. Anne Makinda alikazia akitaka majibu
juu ya picha za juzi zilizosambaa zikimuonyesha Mhe. Komba akiwa na
binti mdogo ambazo mwenyewe alisema si zake na wabunge kuonekana
wakitaka majibu ambapo Mhe. Mbarawa anasema. “Mhe. Spika kuhusu picha za
juzi zilizosambaa mitandaoni tunazifuatilia kujua zimeanzia wapi na
taarifa zake zikoje kwani hata mimi bado sijaziona ila tutachukua hatua
tutakapobaini zilipotoka.”
BOFYA HAPO CHINI KUNA PICHA YA MBUNGE AKIMLA URODA BINTI,TUMEFICHA KULINGANA NA MAANDILI
BOFYA HAPO CHINI KUNA PICHA YA MBUNGE AKIMLA URODA BINTI,TUMEFICHA KULINGANA NA MAANDILI
0 comments:
Post a Comment