Tuesday, 3 June 2014

VILIO VYATAWALA MWILI WA MTOTO NASRA UKIWASILI MKOANI MORO

...

Waombolezaji wakiangua kilio baada ya mwili wa marehemu Nasra Rashid (4)
kuwasili mkoani Morogoro.
Mwili wa mtoto Nasra Rashid ukiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.
Wanahabari wakichukua matukio wakati mwili wa mtoto Nasra ukiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.
Mwili wa Nasra ukipelekwa mochwari kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.
Mwili wa mtoto Nasra ukiwa mochwari.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger