Katika kipengele Mwanamuziki Bora wa
Kiume nominees walikuwa ni Anselmo Ralph ( wa Angola), Davido (Nigeria),
Donald (Afrika Kusini) , Wizkid (Nigeria) na Diamond Platnumz
(Tanzania)
ambapo mshindi alikuwa ni Davido kutoka Nigeria.
Tuzo ya Best Collabo ilitangazwa awali
na imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na
wimbo wa Y-tjukutja.
Lakini sio mbaya watanzania wamefanya kazi kubwa kupiga kura na kutoa sapoti kwenye mitandao ya kijamii.
0 comments:
Post a Comment