Monday, 9 June 2014

TUZO ZA MTV MAMA 2014: DIAMOND PLATNUMZ AAMBULIA PATUPU

...


Safari ndefu ya ya mchakato wa tuzo za MTV (MAMA2014) Ulioanza rasmi April 16 baada ya kutangazwa majina ya nominees na kuanza kupigiwa kura imefikia ukingoni usiku wa kuamkia leo, ICC Arena, Durba Afrika Kusini.   

Kwa mujibu ya matokeo ya mchakato mzima, Tanzania hatubahatika kupata tuzo hata moja kati ya tuzo mbili alizokuwa anawania Diamond Platinumz (Best Male Artist na Best Collaboration).  Davido ndiye aliyebeba tuzo ya Best Male Artist 
na tuzo nyingine kubwa ya Artist of The Year. Na Tiwa Savage aliipeleka Nigeria tuzo ya Best Female. 

ANGALIA VIDEO HAPO CHINI
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger