Naibu Waziri Tamisemi, Kassim Majaliwa
Wanafunzi 54,085 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka huu wa
2014, taarifa hii imetangazwa na N/Waziri tamisemi (Elimu) Kassim
Majaliwa leo. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti tarehe 10 Julai, 2014.
Tutaweka majina yote ya waliochaguliwa hapa mdsa si mrefu, endelea kutembea blog hii Ya maswayetu
0 comments:
Post a Comment