Promoter DMK,Diamond Platnumz,Kevin Liles,Raisi Kikwete.
Hivi
Majuzi wakati Tour ya Diamond ilipokuwa New York,Ma Promoter wake pamoja
na Yeye mwenyewe walikaribishwa na Mheshimiwa Raisi ambapo mbali na
mambo mengine Mheshimiwa alimpongeza Diamond katika mafanikio yake ikiwa
nipamoja na Kuchaguliwa kuwania tuzo za BET hapa nchini Marekani.
Rais
hakuwahi kupata nafasi ya kumpongeza kijana huyo kwani wakatimatangazo
yalipotoka Diamond alikuwa nje ya nchi.Mheshimiwa pia alimkutanisha
Diamond na aliyekuwa Raisi wa Def Jam Record/Warner Bros Music group Mr
Kevin Liles ambaye alionyesha nia ya kufanya mambo makubwa na Diamond.
Kevin
ni Multi Millionare mwenye utajiri wa zaidi ya Dollar Milioni 60 ambaye
kwa sasa ni manager wa wanamuziki Trey Song,Big Sean,Ty Dolla Sign,Kuna
uwezekano mwanamuziki Diamond akawajoin Hao hivi karibuni..waingereza
wanasema(hard work pays)Congratulation to Diamond for hard work and
Thank you Mr President for Supporting your Youths.
Kuna jambo liliwafurahisha kutoka kwenye video za Diamond
Je wataka kujua Nini hapa kilikuwa kikizungumziwa?
Kevin akiangalia Video ya Diamond akiwa Congo kwenye simu yake.
0 comments:
Post a Comment