Nay wa Mitego akimlisha keki mmoja wa marafiki zake.
STAA
wa muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’,
juzi usiku alifanikiwa kukusanyika na ndugu na jamaa zake wa karibu kwa
ajili ya kusheherekea siku ya kuzaliwa kwake miaka 29 iliyopita. Ishu
hiyo ilifanyika nyumbani kwake Kimara-Baruti ambako aliwashukuru mama na
baba yake na Mungu, mashabiki wake na mpenzi wake, Siwema kwa kuifikia
siku hiyo.
0 comments:
Post a Comment